Waombolezaji wa Msiba wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Marehemu Albert Mangwea waliokuwa wamejitokeza kwa wingi kwenye viwanja Leader s kwa ajili ya kuaga,wakielekea kwenye gari maalum la kubeba mwili Marehemu Mangwea tayari kwa Safari ya kwenda Mkoani Morogoro kwa Mazishi ambayo yatafanyika kesho Alhamisi.
Mwili wa Marehemu Mangwea ukiingizwa kwenye gari.
Msafara ukiondoka kwenye viwnja vya Leaders,Kinondoni Jijini Dar tayari kwa safari ya kuelekea Mkoani Morogoro kwa Mazishi.
Taratibu za kuaga zikiendelea.
PICHA NA VIDEO ZA MSIBA HUU ZITAWAJIA BAADAE.
Nimeona maajabu sana watu kugombania kupiga picha sanduku, sidhani hiyo ni mila ya Tanzania,
ReplyDeleteJamani..Mama yake...jamani watoto tunazaa tunawakuza wanatutoka hivi hivi...ohoooooooo inauma sana.Tena mtoto anamuacha mama yake uzeeni kama hivi.
ReplyDeleteMtoto ni siraha kamili kwa mzazi wake uzeeni.
Vijana tuwaonee huruma wazazi wetu, tujifunze kutokana na matukio. Hatujui kijana huyu kafa kwa sabb gani, lakini vijana acheni vurugu za maisha.Mcheni mola mkiwa bado na nguvu.
Mangwea katutoka .Alikuwa anahitajika sana na wazazi wake ndugu zake n.k
Hakuna jinsi, tumuombee rehema kwa Mungu apumzike kwa amani.AAAAMEN
RIP NGWEAR TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
ReplyDeleteMEGGIE IMPOSTRA
RIP Ngwea! May God Almighty rest your soul in peace
ReplyDeleteKillo