Ndugu uliyesoma Tabora Girls mwaka wowote ule, unakaribishwa katika kikao cha kupanga mikakati mbalimbali ya kuinuana.
Mchango wa mawazo yako ni muhimu sana pia ni msingi imara wa umoja utakao anzishwa baada ya mchakato huo kukamilika.
Tukutane Landmark Hotel, Riverside, Dar es salaam Saa 9 kamili mchana tarehe 22/6/2013.
Tafadhali mjulishe na mwenzio.
Karibuni sana.
MRATIBU
Nimefurahi sana kusoma habari hii.
ReplyDeleteSisi tulikuwa twawarushia makombora(love letters) hao watoto wa Warsaw.Enzi za miss Cowan? Good luck girls.
Ohhh man ..... makombora, the orchard , social evenings, the whole nine yards.... Yet the best brains ever got produced there for this nation.
ReplyDeleteWay to go girls....
From a "Berliner"
Nice news tupo pamoja hesabu me tafadhali ila kesho udhuru naomba feedback kwa 0752710554
ReplyDeleteMuwe mnakusanya picha zenu mlipokuwa Shuleni Tabora Girls Enzi hizo ili muone mabadiliko na mlivyo sasa.
ReplyDeleteAma kweli utu uzima dawa!
Viako kama hivi vya kukutana ni vizuri sana.
ReplyDeleteIsipokuwa pamoja na udhuru zinazotokea wengi wanakwepa kutokea katika Vikao na Mikusanyiko hii kwa ile hujistukia wenyewe WALIVYO ZEEKA SASA mbele za wenzao wanaona itakuwa kituko, mfano wale waliokuwa wananata kwa Ulimbwende na sasa wamekuwa Vikongwe!
Nashauri ili kuepuka watu kukwepa kuja Mkusanyikoni kwa KUJISTUKIA HUKO KWA KUZEEKA ama HUO UDHURU mngeongea na VODACOM ili wawape au KUWAUNGANISHA NA TEKINOLOJIA YA '' MOBILE TELECONFERENCING'' KWA NJIA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONONI.
YAANI MNAFANYA MKUTANO KWA KUUNGANISHWA KWA NJIA YA SIMU ZA MIKONONI HUKU KILA MMOJA AKIWA KWAKE HATA WALIO NJE YA NCHI WANAWEZA KUFIKIKA VIZURI TU!
Kwa jinsi watu walivyokula chumvi nyingi, mtashangaana siku ya Mkusanyiko !
ReplyDeleteUsichana ama kweli ni maji ya moto, Masista du WAKALI WA KITAMBO ENZI HIZO mliotesa sana Tabora Girls kwa kiuwasumbua Mabosi wa Maofisini Mjini Tabora na sasa mna makunyanzi usoni na mmejaza 'bati' ama 'unga mweupe' vichwani!
Uzee hauna dawa ila kilichobaki dawa ni busara na hekima.
ReplyDeleteMtashangaana sana mkinonana baada ya miaka kibao kupita!
Msione ajabu mmoja akamwamkia mwenzake ''SHIKAMOO BIBI YAKE ROSE'' akidhani ameonana na Bibi Mzaa mama au baba wa rafiki yake kumbe akiwa ndiye yeye mwenyewe Rafiki wa kitambo kileeee!
Si mchezo Mwenyezi ametuzawadia maisha isipokuwa Changamoto kubwa ameiweka kwenye Umri na hasa suala la kuzeeka!
ReplyDeleteMara zote kadri umri unavyozidi kusogea ndio 'golden chance ya mtu kutesa mikaisha inafunguka' sasa ndio hapa unakuta mtu umri umeenda lakini ana tokelezea kama angalia KIJANA MBICHI!,,,ndio kundi hili tunakuta MADADA WA ZAMANI na WAVUALANA wa ZAMANI ambao wanajaribu kendelea kutesa (ama kuua Kenge) hadi muda huu wa lala salama,,,a.k.a VIJANA WAZAMANI!!1
Mnafikiri hawapo wanaotamani kurudi nyuma kuwa watoto?
Akuuu sie Wanaume hatuzeeki!
ReplyDeleteNi nyie wenzetu wanawake ndio mnazeeka.
Hebu angalia mimi ninafikia Umri wa miaka 78 nikiwa na afya njema huku 'JOGOO' LANGU KIBINDONI LIKIWA LINAWIKA VYEMA na inatokea Mwenyezi ananishushia 'MAWE' ya kutosha mfukoni huku nikiwa na umri wa lala salama, KWELI SIWEZI KURUDI KUWA KIJANA MDOGO?
ATAKAYE NIAMKIA OHHH BABU SHIKAMOO!, TUTAKOROFISHANA ASINIRUSHIE NDEGE WANGU MKONONI.
HAPO KILICHO BAKI NANUNUA KOFIA NZURI SANA AINA YA KAPELO NAGEUZA UCHEPEO KUELEKEA NYUMA KISOGONI NAKUWA KIJANA WA ZAMANI!!!