Home
Unlabelled
TUJIKUMBUSHE NA WIMBO HUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo sawa umenirudisha wakati fulani ambao nahisi wakati huo nchi yetu tanzania haikuwa ngumu sana au kuwa na dukuduku la wasiwasi wa uvunjikaji wa amani kama ilivyo sasa na kaimani kalikuwepo kidogo tofauti na sasa
ReplyDeletemungu ibariki tanzania yetu tudumishe ushirikiano upendo na umoja kwani sote ni ndugu bila kujali ukabila wala udini tokea enzi na enzi tunachangia chungu kimoja.
tusitafute uadui wa kudhuru tukaumizana na kuuwana kwani UKIMWI unatosha kuwa adui wetu na tushirikiane kwa kuupiga vita na tuushinde.
wanasema maneno gani kabla ya umoja wa mataifa? nimejaribu kusikili mara tele bado sijaipata please help
ReplyDeleteWanasema mabingwa wa Tanzania na africa mashariki ya kati. Specie
ReplyDelete