Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2013

    Hapo sawa umenirudisha wakati fulani ambao nahisi wakati huo nchi yetu tanzania haikuwa ngumu sana au kuwa na dukuduku la wasiwasi wa uvunjikaji wa amani kama ilivyo sasa na kaimani kalikuwepo kidogo tofauti na sasa


    mungu ibariki tanzania yetu tudumishe ushirikiano upendo na umoja kwani sote ni ndugu bila kujali ukabila wala udini tokea enzi na enzi tunachangia chungu kimoja.



    tusitafute uadui wa kudhuru tukaumizana na kuuwana kwani UKIMWI unatosha kuwa adui wetu na tushirikiane kwa kuupiga vita na tuushinde.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2013

    wanasema maneno gani kabla ya umoja wa mataifa? nimejaribu kusikili mara tele bado sijaipata please help

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2013

    Wanasema mabingwa wa Tanzania na africa mashariki ya kati. Specie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...