Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi(kulia) akimkabidhi kitendea kazi(Sheria za Parole) Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Taifa ya Parole, Eusebio Munuo. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza(Picha zote kwa Hisani ya Dawati la Habari Makao Makuu ya Magereza).
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi (katikati waliokaa) akiwa katika Picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Taifa ya Parole.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2013

    sasa mnatuwekea picha hata majina hakuna ya hao bodi membazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...