Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kati kati) pamoja na Meya
wa Manispaa ya Morogoro , Amiri Nondo, ( mwenye kuvaa koti) Julai 18,
2013, wakibadirishana mawazo wakati wakikagua ujenzi wa
barabara ya Seng’ondo iliyopo eneo la Kata ya Boma, ambayo Meya huyo ni
Diwani wa Kata , barabara hiyo inayojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya Uhandisi ya CGI na kutaraajiwa kukamilika Augosti mwaka huu.( Picha na John Nditi).
Mbunge Abdulaziz Abood ( kushoto) akiwa na Mwalimu wake ,Madelina
Lungu aliyemfundisha wa Shule ya Msingi ya Bungo, mwaka 1967 darasa la
nne na tano
Mbunge Abood akibadilishana mawazo na Mwalimu wake wa zamani wa shule ya msingi, Rehema Ngedere.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( wanne kutoka
kulia) akipata maelezo ya uenjezi wa Barabara la kiwango cha lami.
Moja kati ya baarabara za Manispaa ya Morogoro zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika Kata ya Mji Mpya.
Wananchi wa Kata ya Mji Mpya , Manispaa ya Morogoro wakijumuika na
Mbunge wao Abdulaziz Abood ( haonekani pichani) kukagua maendeleo ya
mwisho ya ukamilishaji wa Zahanat


Afadhali kuwa na kumbukumbu kama hizi, kwenye siasa hawakawii kusema sio raia!
ReplyDeletesesophy
Mwalimu amechoka. Yaani serikali iangalie kipato na maisha ya walimu.
ReplyDelete