Viongozi wakuu wa idara mbalimbali za TPA wakiongea na waandishi wa Habari leo ukumbi wa Maelezo, kuhusu mafanikio yaliyopatikana na mikakati mbalimbali ya kuboresha huduma kwa wateja, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa ICT TPA Mr. Magesa, Mkugurenzi Msaidizi wa Maelezo Ms.Kawawa, Meneja Mawasiliano TPA Mrs. Ruzangi, Meneja wa Bandari ya Dar Mr.Masawe, Mkurugenzi wa Mipango TPA Mr.Urioh.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2013

    Ankal,
    Waambie Mamlaka ya Bandari (TPA) wasiishie kuongee tu na waandishi wa habari tu bali pia watuwekee video ya angalau dakika 15 ya kuonesha hali halisi ya utendaji (operations)ikionesha upakuaji,upakiaji na uchukuzi wa mizigo bandarini na kutundika video youtube buree.

    Mfumo video dijitali ni kwa ajili ya wadau kuangalia utendaji wa sasa kwa macho (virtual tour) itasaidia kuvutia wateja zaidi.

    Maana audience inayolengwa ni customers ambao siyo waandishi wa habari tu bali na wadau wengine wa ndani na nchi za jirani. Mfumo video utahitimisha sustainable- marketing relationship with real customers.

    Mashirika mengine kama TAZARA na Tanzania Railways Limited wakupatie safari maalum Ankali ili utuwekea video ya shughuli zao za kusafirisha mizingo na abiria toka DSM mpaka Tunduma/Kapiri Mposhi na toka DSM mapaka mwisjo wa Reli Kigoma/Mwanza.

    Mdau
    Mfumo-dijitali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...