Pichani kushoto ni Mdau Josephine Kapoma akiwa na wadau wengine mara baada ya kulamba nondo zake ndani ya chuo kikuu cha Cardiff Metropolitan University-Uingereza
Pichani juu ni Mdau Josephine Kapoma akiwa katika picha za pozi na mwenye furaha kubwa mara
baada ya kulamba nondo zake ndani ya chuo kikuu cha Cardiff Metropolitan
University-Uingereza.
Hongera sana dadayangu Josephine Joseph Kapoma mungu akuzidishie hili na jingine utimize malengo yako..
ReplyDeleteNakuonea gere mwayego!
ReplyDeletewewe furahi tu,ajira hamna.
ReplyDelete