Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2013

    very poor sound quality.

    ReplyDelete
  2. Hawa wapo ni Baba, mama, kaka, dada, na watoto wetu. Kama tulivyo jifunza kukubali janga la Ukimwi, hatuna budi kukubali janga la Ushoga lililotandaa kwa kasi kubwa ndani ya jamii zetu. Ni janga kwa sababu linakinzana na matakwa ya Muumba wetu Mungu. Pamoja na kwamba wengine wetu wanajitahidi kulikubalisha, hili halikubaliki ndani ya jamii ya Bin-Adam na Binti-Eva/Hawa. Kila mmoja wetu ana jukumu la kuchimbua mzizi huu na hatimaye tutokomeze janga hili. Njia za kufanikisha hili ni nyingi na ya muhimu kuliko zote, Turejee kwa kina maandiko matakatifu ya Imani zetu za Dini, imani zetu kwa Muumba wetu. Mungu ali iangamiza Sodoma na Gomora enzi hizo na leo tuna wajibu sisi wa kuangamiza Ushoga.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2013

    USHOGA HAUTOKOMEZEKI, NI HALI YA KUZALIWA. HUJAWAHI KUONA WATOTO WADOGO TU WAKIKE WENYE TABIA ZA KIUME? NA VICE VERSA?
    MASHOGA NI BINADAMU NA WANAHITAJI WAPEWE HAKI ZAO KAMA WALIVYO WENADAMU WENGINE. KUJIDAI HAWAPO NI KUJIDANGANYA. NA TOFAUTISHENI KATI YA BIASHARA YA MWILI NA USHOGA SIO KILA SHOGA ANAJIUZA. HALAFU HOYCE UNAONYESHA NYUMBA YA HUYU JAMAA ILI IWEJE?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2013

    Sauti ya background imefanya nisielewe kinachozungumzwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2013

    Dada Hoyce sauti ya unayemuhoji aisikiki vizuri kabisa, labda angezibwa macho tu. Sijui utafanyaje tusikie anayoongea?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2013

    rekebisheni sauti hatusikii chochote

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2013

    Haisikiki....
    Ama fanya mahojiano au piga mziki.
    Poor production. Kelele za kinanda zimegubika mahojiano!
    Hivi wanaotayarisha vitu kama hivi wanavipitia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...