Home
Unlabelled
MIMI NA TANZANIA - USHOGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
very poor sound quality.
ReplyDeleteHawa wapo ni Baba, mama, kaka, dada, na watoto wetu. Kama tulivyo jifunza kukubali janga la Ukimwi, hatuna budi kukubali janga la Ushoga lililotandaa kwa kasi kubwa ndani ya jamii zetu. Ni janga kwa sababu linakinzana na matakwa ya Muumba wetu Mungu. Pamoja na kwamba wengine wetu wanajitahidi kulikubalisha, hili halikubaliki ndani ya jamii ya Bin-Adam na Binti-Eva/Hawa. Kila mmoja wetu ana jukumu la kuchimbua mzizi huu na hatimaye tutokomeze janga hili. Njia za kufanikisha hili ni nyingi na ya muhimu kuliko zote, Turejee kwa kina maandiko matakatifu ya Imani zetu za Dini, imani zetu kwa Muumba wetu. Mungu ali iangamiza Sodoma na Gomora enzi hizo na leo tuna wajibu sisi wa kuangamiza Ushoga.
ReplyDeleteUSHOGA HAUTOKOMEZEKI, NI HALI YA KUZALIWA. HUJAWAHI KUONA WATOTO WADOGO TU WAKIKE WENYE TABIA ZA KIUME? NA VICE VERSA?
ReplyDeleteMASHOGA NI BINADAMU NA WANAHITAJI WAPEWE HAKI ZAO KAMA WALIVYO WENADAMU WENGINE. KUJIDAI HAWAPO NI KUJIDANGANYA. NA TOFAUTISHENI KATI YA BIASHARA YA MWILI NA USHOGA SIO KILA SHOGA ANAJIUZA. HALAFU HOYCE UNAONYESHA NYUMBA YA HUYU JAMAA ILI IWEJE?
Sauti ya background imefanya nisielewe kinachozungumzwa.
ReplyDeleteDada Hoyce sauti ya unayemuhoji aisikiki vizuri kabisa, labda angezibwa macho tu. Sijui utafanyaje tusikie anayoongea?
ReplyDeleterekebisheni sauti hatusikii chochote
ReplyDeleteHaisikiki....
ReplyDeleteAma fanya mahojiano au piga mziki.
Poor production. Kelele za kinanda zimegubika mahojiano!
Hivi wanaotayarisha vitu kama hivi wanavipitia?