MAREHEMU JAJI (MSTAAFU)
BUXTON DAVID CHIPETA.
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na
Wafanyakazi wote wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(SUMATRA), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA anasikitika kuufahamisha umma kuwa
aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SUMATRA Jaji (Mstaafu)
Buxton David Chipeta amefariki dunia tarehe 16 Julai, 2013 katika Hospitali ya
Hindu Mandal, Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Marehemu,
Oysterbay Mtaa wa Chole/Lincon, Plot No. 580.
Tunaomba tuungane na Familia ya Marehemu Jaji (Mstaafu)
Chipeta katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo ya msiba huu mkubwa.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, Jina Lake
Lihimidiwe!
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu
SUMATRA
17 Julai,
2013.
May His Soul Rest in Peace. Amen
ReplyDeleteSad news in deed, wanasheria tumepoteza jembe, poleni sana wafiwa , R.I.P Judge(as he then was), mchango wako kwa fani ya sheria na kwa taifa kwa ujumla ulikuwa mkubwa, tutakukumbuka.
ReplyDelete