Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison
Mwakyembe (kulia), akifafanua jambo kwa Mweyekiti wa Kampuni ya Alhayat Investment na Nembras Investment ya
nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy, wakati walipomtebelea ofisini kwake leo
mchana. Kampuni ya Alhayat investment ni kampuni ambayo imeonyesha nia ya
kuwekeza kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti
wa Kampuni ya Alhayat investment na Nembras Investment ya nchini Oman, Shekhe
Salim Al-Harthy akifafanua jambo kwa Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia),wakati
mwenyekti huyo alipomtembelea ofisni kwake leo mchana.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Alhayat
investment na Nembras Investment ya nchini Muscat Shekhe Salim Al-Harthy
akifafanua jambo kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia),wakati
mwenyekti huyo alipomtembelea Waziiri wa Uchukuzi ofisini kwake leo mchana.
Kampunji ya alhayat imeonesha nia ya kuwekeza katika Shirika la Ndege la
Tanzania(ATCL).(Picha na Kitengo Cha Mawasiliano
Serikalini-Uchukuzi)


Kila la kheri
ReplyDeleteOut of curiosity, you would expect such company with the intention of investing in another country's major airline would at least have some presence online i.e. a website explaining their business etc. but no they just appear from nowhere......
ReplyDelete