Afisa
wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na
Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium,uliopo kwenye Kijiji
Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Fredrick Kriel akitoa mada ya
maswala ya Usalama Mgodini wakati wa Semina fupi kwa Baadhi ya
Wanahabari waliofanikiwa kutembelea Mradi huo uliopo pembezoni mwa
Hifadhi ya Taifa ya Seluu na kufahamu mambo mbali mbali juu ya Madini
hayo ya Uraniuam.
Afisa
wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania,Fredrick Kriel
akionyesha moja ya mambo muhimu na yanayotakiwa kuzingatiwa kwa mtu
yeyote awapo Mgodini.
Meneja
Mkuu wa Maswala ya Usalama, Afya, Mazingira na Ubora wa Kampuni ya
Mantra Tanzania,Cornelis Van Den Berg akifafanua jambo kuhusu mradi huo
wa Madini ya aina ya Uranium wakati wa semina fupi na baadhi ya
Wanahabari walioweza kutembelea Mgodi huo leo,na kuweza kujionea na
kufahamu mambo mbali mbali juu ya Mgodi huo.
Mkuu
wa Kitengo ya Mahusiano wa Kampuni ya Mantra Tanzani,Khadija Palangyo
akielezea namna Kampuni yake inavyoweza kutoa kipaumbele katika kusaidia
jamii inayouzunguka mradi huko.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini
wakifatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa na wahusika wa Mradi
huo.Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage,Teddy Mapunda ambaye
ameambatana na wanahabari hao,na wa pili kulia ni Mkuu wa Kitengo ya Mahusiano wa Kampuni ya Mantra Tanzani,Khadija Palangyo.
Wanahabari hao wakiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wasimamizi wa Mradi huo.
Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteje hao wamarekani wanalipo kodi sitahiki au mambo ya yetu yaleyale sisi shida yetu ni kodi sio kusaidia jamii inayowanguka jaman kusaidia ni iyali yao lakin kod ni maendeleo ya taifa letu.
ReplyDeleteKumbe haya madini yameshaanza kuchimbwa? Kama nchi tunafaidikaje au ndiyo hao wajanja wanajichotea na kutuacha na umasikini wetu?
ReplyDeleteHaya punde mtasema wanatuibia madini yetu. Wazungu hapo wawili tu wengine wabongo, semeni!
ReplyDelete