Waziri Mkuu, Mizenfo pinfa akiwapungia wananchi wa kijiji
cha Kiagara wilayani nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai
182013. Kulia ni mkewe Mama Tunu Pinda.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wapili
kushoto)akitazama kazi za mikono alizozawadiwa na wanawake wa
Lituhi wilayani Nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai
17,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...