Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akionesha Bastola aina ya RAM P.9X19 zikiwa na risasi tatu (3) ndani ya Magazine mbele ya waandishi waliokuwepo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao makuu ya Polisi Augost 7, 2013.jijini D ar es salaam,baada ya kuendesha msako mkali na kufanikiwa kuzikamata pamoja na kukamatwa kwa watuhumiwa 196 kwa makosa mbalimbali na kukamata magari saba(7)na Bajaji moja ya miguu mitatu.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo le Augost 7, 2013makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam.
Hongera afande msako huu usiwe wa nguvu za soda uwe wa kudumu watakaopatikana wapo nchini kinyume
ReplyDeletecha sheria,mahakama zipitishe maamuzi ya haraka kuwarudisha nchi
walizotoka sawa na sheria zinazotumika nchi zilizoendelea bara la ulaya na sisi watanzania tunataka kuendelea kuilinda nchi yetu na kuishi kwa amani.
mikidadi-denmark
hahahahhaha kovaa
ReplyDeleteTanzania Tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo woteee... Nchi ya.gu Tanzania jina.lako ni tamu sanaaaaaa. Nilalalpo nakuota wewe niamkapo ni heri mama weeee. Tanzania Tanzaniaaa
ReplyDelete