Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akionesha Bastola aina ya RAM P.9X19 zikiwa na risasi tatu (3) ndani ya Magazine mbele ya waandishi waliokuwepo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao makuu ya Polisi Augost 7, 2013.jijini D ar es salaam,baada ya kuendesha msako mkali na kufanikiwa kuzikamata pamoja na kukamatwa kwa watuhumiwa 196 kwa makosa mbalimbali na kukamata magari saba(7)na Bajaji moja ya miguu mitatu.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo le Augost 7, 2013makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera afande msako huu usiwe wa nguvu za soda uwe wa kudumu watakaopatikana wapo nchini kinyume
    cha sheria,mahakama zipitishe maamuzi ya haraka kuwarudisha nchi
    walizotoka sawa na sheria zinazotumika nchi zilizoendelea bara la ulaya na sisi watanzania tunataka kuendelea kuilinda nchi yetu na kuishi kwa amani.
    mikidadi-denmark

    ReplyDelete
  2. hahahahhaha kovaa

    ReplyDelete
  3. Tanzania Tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo woteee... Nchi ya.gu Tanzania jina.lako ni tamu sanaaaaaa. Nilalalpo nakuota wewe niamkapo ni heri mama weeee. Tanzania Tanzaniaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...