Moja ya tanki la maji (kileleni) lililopo jirani na mashamba ya ngano west Kilimanjaro wilani Siha.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Siha Dk Charles Mlingwa na baadhi ya maafisa wa mamlaka za maji wa wilaya za Moshi na Siha wakipanda kwenda kutizama moja ya matanki ya maji .
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Siha Dk Charles Mlingwa na baadhi ya maafisa wa mamlaka za maji wa wilaya za Moshi na Siha wakipanda kwenda kutizama moja ya matanki ya maji.
Mawaziri wote waige mfano wa Dk. Mahenge kufuatilia miradi kwenye maeneo husika badala ya kubaki ofisini kusoma ripoti
ReplyDelete