Wasichana wawili raia wa Uingereza wamemwagiwa tindikali huko Zanzibar jana jioni, kwa mujibu wa shirika la utangazaji la BBC.
Taarifa hiyo inasema kwamba wasichana hao, wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 kila mmoja, ni wafanyakazi wa kujitolea na wamepelekwa Dar es salaam kwa matibabu na kwamba majeraha yao sio ya kutishia maisha.
Habari zimenukuu jeshi la polisi likisema kuwa watu wawili wakiwa katika skuta waliwamwagia tindikali wasichana hao waliokuwa wakitembea katika mitaa ya Stone Town.
Tunakoelekea na hii kitu ya Acid sasa ni pabaya sana!!
ReplyDeleteWaziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Polisi Zanzibar na Rais wa Zanzibar wanatakiwa kujiuzulu ikiwa mpaka leo wanashindwa kuwakamata hawa jamaa wanaomwagia watu tindikali.
ReplyDeletePolisi sasa Kidijitali zaidi!
ReplyDeleteNadhani hiyo Kampuni ya Kotes T. Ltd. iliyosaini Mkataba na Polisi ijikite na Zanzibar kwa haraka na kufunga hizo Kamera zao ili kuwanasa wanaofanya Uhalifu wa Kijinga wa Kumwagia watu Tindikali.
Lazima ieleweke kwa Dunia ya sasa sio Kichaka na kwamwe JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA haiwezi kuwa Kichaka cha watu walioshindwa Sera wakaitumia nchi yetu kufikia Maazimio na malengo yao ya Kipuuzi.
Watu hawa wakipatikana inatakiwa waadhibiwe vikali sana!
Tukumbuke kuwa hatuna mazoea ya kufanya kazi kwa kujitolea. Mishahara ikichelewa kidogo, tunaandamana. Wenzetu wanakuja kutusaidi kufanya kazi zetu kwa kujitolea (bila malipo), tunawamwagia tindikali.
ReplyDeleteMbona huko bara munashindwa kuwakamata vile vile imekuwaje?
ReplyDeleteSaid Kubenea, mmiliki wa home shopping, aliyempiga yule daktari pamoja na Kibanda, wote hao imeshindikana.
Zaidi ya hayo mauaji kwa kutumia bodaboda ndiyo yamepamba moto. Jana tu tumepoteza profesa mmoja wa chuo kikuu.
Mungu tunusuru na haya.
Sina imani na jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake
ReplyDeleteHadi rais Kikwete atoe tamko kama alivyofanya kwa wahamiaji haramu na wenye kumiliki silaha kinyume na sheria,tukisubiri polisi vitendo hivi havitaisha
ReplyDeleteNaungana na wadau waliotangulia,nchi yenyewe ina ukubwa wa wilaya moja,kwa nini hawa watu wasikamatwe,polisi hawawajibiki ipasavyo pamoja na waziri anayehusika.Ni matukio mengi sana yametajwa yakiunganishwa na udinina siasa na sasa hata haieleweki kwamba sababu ni nini.Na ikiwa wazanzibari wanataga kubagua kila mtu kisa mafuta ya baharini wajue tu kwamba kamwe katika ulimwengu wa sasa hawawezi kuwa kisiwa ingawa kijiografia wao ni kisiwa. Na haya majanga mnayoyaleta yataharibu utalii na muungano ukivunjika sijui itakuwaje wakati utalii ni suala njia kuu ya uchumi. Hili ni kosa la kujaribu kuua bila kujali ni kiasi gani mtu ameathiriwa,na hili ni lazima lidhibitiwe kwa kuwa inaonekana linaanza kuwa sawa na tabia ya kuchoma moto wezi ambalo linasemwa na polisi hawachukui hatua.
ReplyDeleteSo sad! Imagine hawa watoto wanvyokuja kujitolea na kufanya kazi lakini bado wanakutana na majanga haya!
ReplyDeleteWhat is this Zanzibar?! Nchi gani hii! VIongozi wanaangalia tu hii stupidity ilianza siku nyingi! na wamekaa wanaagalia mpaka kitu itokee naman hii wanongea kisha wananyamaza! Nimesikitishwa sana! Zanzibar i sehemu kubwa ya utalii lakini mnaharibu kabisa!
Hi taarifa ya tindikali inatupeleka pabaya
ReplyDeleteWazanzibari waeleweshwe kuhusu faida za utalii
ReplyDeleteBasic Hulu Neil mwisho wa kupata wageni kukuza utalii - ambao ndio tenge do lenu- mtakoma- hadi mmpige maloti muombe msamaha!!!
ReplyDeleteHizi habari nimezipata kwa mwanamke wa kibritish jioni hii hii na alikuwa anakuja zanzibar soon na kwa bahati mbaya haendi tena.Jiulize ni wangapi sasa wanaahirisha na waha mazombe wasio na ubongo wameathiri mapato kwa kiasi gani.
ReplyDeleteBasi mjue huu ndio mwisho wa kupata wageni kukuza utalii - ambao ndio tenge do lenu- mtakoma- hadi mmpige maloti muombe msamaha!!!
ReplyDeleteUmeona sisi Watanzania tulivokuwa wapumbavu nilikuwa nasubiri sana
ReplyDeleteJuzi tuliripoti hapa Watanzania walipigwa Ugiriki watu wakatukana sana ati rudini kwenu sijui upuuzi gani sasa leo Mzungu ndio kawa mtu wa maaana?
Hata sisi watanzania tunapokuwa Ulaya tunalipa taxi na pia tunachangia huo uchumi kwa mfano UK kiasi gani wageni wanaingiza ni sawa tu na Zanzibar.
Naungana na mtoa maoni wa Tano NYIE HUKO MPAKA PICHA ZA WALIOUWA ZIPO DUNIA NZIMA NA JANA TU RIPOTI IMETOLEWA KULAANI TANZANIA SIFA INAZOPEWA NI ZA UONGO KUTOKANA KUSHINDWA KUMSHTAKI MTU YOYOTE AKIWEMO ALIEMPIGA BOMU MUANDISHI
leo hii mnaisema Zanzibar? acheni hizooo
wanaomwagia watu tindi kali hapa unguja ni watu wachache wenye akili ndogo na elimu ndio kidogo zaidi na wanatokea Pemba.acheni ubishi huu ndio ukweli ingawa wengine utawauma.
ReplyDeletemdau.
Tomondo,unguja.
Je haiwezi kuwa ni mtu wa Unguja au bara aliefanya hilo tukio ? usilete hizo wewe eti ni kutoka Pemba....Mi pia ni Muunguja tena naweza kusema kuliko wewe ulochovya....hawa ni wahalifu tu , wawe Wazanzibari (Unguja au Pemba ) au watanzania kwa ujumla....
DeleteHuyu anayesema wametokea Pemba inaonekana anawajua hawa wahalifu. Kwa nini asiwasaidie polisi kuwakamata? Au anaingiza chuki zao zisizo na maana zilizotuchosha! Acheni kuabudu vyama na badala yake muabuduni Mola wenu mtapendana.
ReplyDeleteVurugu znz zimeshatokea mara tele,mbona bado watalii wanakuja?Jueni Mola ndie anatoa riziki,c mm na ww,serikali wala watalii
ReplyDelete