Kwa mujibu wa familia ya Marehemu, Mwili wa Marehemu Alex Magafu (pichani) aliyefariki dunia tar 21/8/013 utaondolewa katika Hospitali ya Amana pale Ilala leo tar 23/8/013 mida ya Saa 4 nne asubuhi na kupelekwa nyumbani Mbezi karibia na Kituo cha mabasi cha Kibanda cha Mkaa.

Saa Tano taratibu za ibada zitafanyika na kisha Saa Saba Mchana safari itaanza  kuelekea Makaburini kwa kuupumzisha mwili wa mwenyetu salama.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi; 0658431919  au 0658941941


BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA JINA LABWANA LIHIMIDIWE. APUMZIKE KWA AMANI NDUGU YETU. AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP MDAU ALEX, TULIKUPENDA SANA, TUTAZIDI KUKUMBUKA DAIMA. Mimi rafikio SIXMUND

    ReplyDelete
  2. Pumzika kwa Amani jogoo

    ReplyDelete
  3. Tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi,pumzika kwa amani alex.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...