Bi Fatma Rajab (katikati) anaekaimu nafasi ya Balozi nchini Nigeria akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Mussa Azzan Zungu Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania.Wengine pichani ni Saidi Yakubu( Mratibu wa CPA Tanzania),Mhe Beatrice Shellukindo ambae ni Makamu Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika.Wa kwanza kulia ni Bw.Francis Nkayala ambae ni Mhasibu wa Ubalozi. Picha na Ofisi ya Bunge
Home
Unlabelled
Viongozi wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania watembelea Ubalozi wa wetu Nigeria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hawa Ubalozi vipi. Watawekaje picha ya Rais wetu sawa na ya Wanigeria? Yakwetu haina budi kupewa kipaumbele: Iwe pekee. Huyo mwingine kwenye Ubalozi wetu awekwe pengineko lakini hawezi kuwa sawa na Rais wetu kwenye Jengo letu. Ama hizi diplomasia siku hizi vipi? Nanda kwenye Balozi za wenzetu mjini hapa: hata picha ya Rais wetu huioni kabisa!!
ReplyDelete