Bi Fatma Rajab (katikati) anaekaimu nafasi ya Balozi nchini Nigeria akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Mussa Azzan Zungu Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania.Wengine pichani ni Saidi Yakubu( Mratibu wa CPA Tanzania),Mhe Beatrice Shellukindo ambae ni Makamu Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika.Wa kwanza kulia ni Bw.Francis Nkayala ambae ni Mhasibu wa Ubalozi. Picha na Ofisi ya Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa Ubalozi vipi. Watawekaje picha ya Rais wetu sawa na ya Wanigeria? Yakwetu haina budi kupewa kipaumbele: Iwe pekee. Huyo mwingine kwenye Ubalozi wetu awekwe pengineko lakini hawezi kuwa sawa na Rais wetu kwenye Jengo letu. Ama hizi diplomasia siku hizi vipi? Nanda kwenye Balozi za wenzetu mjini hapa: hata picha ya Rais wetu huioni kabisa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...