Mwenyekiti wa timu ya soka ya Mlale Jkt Capt. Gerald Rwenyagira  (kushoto) akipokea msaada wa fedha shilingi 1,000,000 kutoka kwa kaimu meneja wa Benki ya Posta Taqnzania tawi la Songea Bw. Frumence Mushi ili ziweze kuisadia timu hiyo wakati huu ambapo inakabiliwa na mashindano ya ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.
Baadhi ya ya viongozi wa timu ya soka ya Mlale Jkt wakiwa katika picha ya pamoja na uongoizi wa Benki ya posta Tanzania tawi la Songea katika hafla fupi ya kupokea msaada wa fedha taslimu shilingi 1,000,000 kutoka kwa Benki hiyo mjini Songea. Picha na Muhidin Amri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...