Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mhe Senyi Ngaga kushoto akiangalia shehena ya mahindi ya chakula katika kikosi cha 842 Kj mlale Jkt jana,kulia ni mkuu wa kikosi hicho Meja Thomas Mpuku.
Mkuu wa wilaya ya Mbinga Mhe Senyi Ngaga akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya vijana zaidi ya 1000 katika kikosi cha 842 Kj Mlale Jkt,kushoto ni mkuu wa gwaride ilo Capt Gerald William Rwenyagira.
Mhe Ngaga akikagua kikosi cha Bendi.
Vijana wakipita kwa mwendo wa haraka.
Wakila kiapo. Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Songea
JAMANI MIMI NILIPITIA JKT MLALE MWAKA 1991 ENZI ZA MTONE,MMENIKUMBUSHA MBALI SANA.MDU LONDON.
ReplyDeleteWale watuu, mmmh mlale ni kambi nzur sana Kwa mafunzo ya jkt....i enjoyed to be part of it!!! O.P kikwete 2015
ReplyDelete