Staa wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo,Rehema Chalamilla 'Ray C', akiingiza sauti ndani ya Studio za THT, chini ya maprodyuza Emma The Boy na Tudy Thomas,ambao wamepania kumrejesha katika game kwa kishindo msanii huyo, ambaye alipotea kwenye ulimwengu wa Burudani baada ya kutopea katika utumiaji wa madawa ya kulevya ambayo kwa sasa ameachana nayo na kumrudia mwenyezi Mungu sambamba na kuendelea kutumia dozi ya kuondoa sumu ya madawa hayo.
Prodyuza Tudy Thomas (kulia), akijadiliana jambo lililotokana na majadiliano ya kuboresha ngoma mpya ya Ray C, pichani kati ni Emma The Boy akipiga mzigo tayari kwa kumkamilishia Ray C ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.
Ray C, akijaribu kutoa akapela kwa Maprodyuza hao, wakati wakiendelea kuiboresha ngoma yake mpya.
uzito wa kuangaliwa. Mtu ni afya.
ReplyDeleteIngependeza kama ungerudi kwa nyimbo za gospel, nadhani ungefanikiwa zaidi sio tu kwa kutuburudisha bali kumsifu mungu pia katikammambo uliyopitia. Hizi bongo fleva waachie watotonhazikufai kwa sasa. Na haitapendeza kukuona tena jukwaani ukikata viuno. Ni wazo tu...
ReplyDeleteKila mtu kimpango wake bwana..dont frustrate her efforts..
ReplyDeleteKila mtu na wito wake. Mwacheni miaka mia mbona Tshala mwana Mbilia Bel,Yondo sista, Tina Turner hamkuwashauri