Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sasa kama serikali inaanza kujitetea na kujipendekeza hivi si ni afadhali kuachana tu na zoezi hili. Maana Siku hizi naona hamwezi kupigia debe kitu mnachokifanya kama alivyokuwaga Nyerere. Sasa hivi yaani naona mmezidiwa kete na vyombo vya habari vya nje katika kuwapaka madongo na msipoangalia ngoma itawageukeni tu. Nyerere ndiye alikuwaga kiboko yao kwa kushupalia ishu yake hadi everyone anaamua kuwa upande wake. Sasa hivi naona mnageukwa kinyemela tu halafu mnaanza kujirudi. That is total weakness. Mfano issue ya FDLR na Kodi za magari ya mizigo kwenda Rwanda.
    Taabu tupu- its better kuwatumia tu watu hawa kama resources ili kuinua uchumi wa taifa badala ya kuwafukuza. Ndivyo marekani wanavyofanya tangu Enzi hizo- wanakusanya everykind of human brain na kuiingiza katika gurudumu la maendeleo. To say the truth- Dira ya TZ siielewa nowadays. I remember & miss nyerere's days. Tulikuwa maskini lakini we were really happy & united humans. Tuliitana Ndugu- Siku hizi eti Mtukufu- mheshimiwa- All nonsense kabisa.

    ReplyDelete
  2. Wewe ni mmoja wao nini? Mbona Uganda walipowafukuza wahamiaji haramu hamkusema? Utawala Wa sheria ndio nguzo mojawapo ya maendeleo. Aluta Continua.

    ReplyDelete
  3. Amri ni moja Wakimbizi na Wageni haramu hatuwataki Tanzania.

    Nchi zooote zenye watu waliopewa amri kuondoka zina Serikali zao huku Vita vikiwa vimekwisha kinacho fanyika ni Maslahi kama

    1.VITA VILIVYO BAKI NI VYA KIUCHUMI VYA BORA MKONO WENDE KINYWANI kama Rwanda inavyo endesha Vita Mashariki ya Kongo ili kusiwe na Amani ya kudumu kuwezesha wizi wa Madini.

    2.NCHI HIZO RWANDA NA UGANDA ZINA MATATIZO MAKUBWA YA UPUNGUFU WA ARDHI HIVYO WANAONA WATU WAO NA MIFUGO YAO KUKAA TANZANIA KWA TIKETI YA UKIMBIZI NI KAMA NAFASI YA KUTATUA MATATIZO YAO YA KIUCHUMI YA UHABA WA ARDHI.

    NI AMRI HALALI KUWAAMURU WAGENI HARAMU NA WAKIMBIZI WA NCHI KAMA RWANDA, UGANDA NA BURUNDI ambako wanazo Serikali zao, Mfano Canada imesha futa Wakimbizi wa Rwanda tokea mwaka juzi kwanini wailaani Tanzania, mbona hawa ilalamikii Canada?

    ReplyDelete
  4. Serikali yetu ya Tanzania nakuombeni muweke pamba kwenye masikio kamwe msisikilize maneno ya watu wa Nnje,sisi kama Taifa tuna maamuzi yetu ya ndani kwa faida ya Taifa letu,hiko KIMBUNGA kiendelee usiku na mchana toweni wahamiaji wasio na faida kwenye taifa letu,na huo msako wenyewe bado hauna kasi na TAMKO la RAIS wetu UHAMIAJI mpo kila mkoa kwenye hii NCHI yetu kwahiyo fanyeni kazi yenu ionekane kwa wanachi hatutaki mwendo wa kinyonga,Naitwa mdudu KAKAKUONA nipo huku Uingereza,nakupendeni woote huko ndugu zangu wakitanzania amani kwenu na TAIFA letu kwa ujumla

    ReplyDelete
  5. Bob Marley alipoimba kuwa "Africa Unite, for the benefit of your people, for the benefit of your children" aliyaona haya! Ninapomuita Mwafrika mwenzangu "mhamiaji haramu" hakika nafsi inanisuta! Iko siku malipizi yatatokea hapahapa duniani! Poor soul zinaumia kwa kuwa viongozi wao hawakuwa na maono mazuri kwa faida ya watu wao! Tunabaguliwa kwenye Mabara ya weupe, na bado tunabaguana hapa barani kwetu! Hii mistari waliyochora hoa weupe tunaishikilia utafikiri Muumba ndio aliiweka?! Halafu bila unafiki tunaimba kwa huyo Muumba eti "Ibariki Afrika na Watu wake". Huu ni unafiki wa digrii ya ya juu kabisa!!

    ReplyDelete
  6. we wa kwanza acha bhangi sisi watu wa kanda ya ziwa tunajuwa madhara yake ni nn jaman wacha waondoke kama wameembiwa wapate vibali kama ww unaishi nchi za watu kwa ruhusa maalum huwezi fanya ualifu coz upo kisheria ok watch out ngudu.wale watu co co wengine ni m23 silalha kibao mtaani matokeo yake unajua nenda kenya tu hapo uone cha mot kuingia hotel au guest house lazima msaka usiku upite huonyeshe kipane chako mbona hamsemi.

    ReplyDelete
  7. mnafukuza waafrika wenzenu mnakumbatia wachina na wazungu wengi wao wanaishi kimagumashi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...