Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava akiongea na washiriki wa warsha ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini inayofanyika leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku moja imeandaliwa na Shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia mazingira na nishati jadilifu nchini (CAMCO).
Washiriki wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava (hayupo pichani) wakati akifungua warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Hivi sasa Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha sera ya nishati ili iweze kutekeleza mkakati wa tungamotaka.
Washiriki wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunguliwa kwa warsha hiyo leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Hivi sasa Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha sera ya nishati ili iweze kutekeleza mkakati wa tungamotaka.Picha na Anna Nkinda – Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...