Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa mwenye kofi ni CHADEMA, ukweli hautaki. Zitto anasema ukweli jamaa anajitihataki kujua. Ndani ya CHADEMA Watanzania tunataka kujua kulikoni?
ReplyDeleteHuyu jamaa mwenye kofi ni CHADEMA, ukweli hautaki. Zitto anasema ukweli jamaa anajitihataki kujua. Ndani ya CHADEMA Watanzania tunataka kujua kulikoni?
ReplyDeletemimi nampenda sana kabwe hata akitoka chadema nitaendelea kumpenda ana akili sana.alishasema kazi zipo nyingi sana zakufanya sio lazima afanye siasa ndio aishi.
ReplyDeleteKwakweli mnaoendesha hiki kipindi mnastahili pongezi. Ila siku mkipata ufadhili tu, mjiandae kupigwa fitina.
ReplyDeleteLeo nimependa mada ni nzuri sana, mnaweza kuendelea nayo week ijayo? Zitto amechanganya watu wengi. Mungu ibariki Tz na watu wake.
ReplyDeleteCHADEMA wamemtenda Zitto kama Malcom X alivyofanyiwa na Nation Of Islam hapa US. Wamemtumia kujenga chama hasa kupata wanachama pamoja na ruzuku kwani bwana mdogo ana charisma lakini mambo na maamuzi yote ndani ya chama yanafanywa hwa siri na yeye hausishwi. Kama kweli Zitto ni mwanasiasa mahiri basi apiganie wagombea binafsi katika katiba kwani sioni uhaini kuweka wazi kama unataka kugombea uenyekiti CHADEMA. Uhaini gani iwapo uchaguzi mkuu CHADEMA ni mwakani mwezi wa sita. Hapo naona wenzake wanamuweka sideline ili asipate nafasi kugombea uenyekiti na urais kupitia CHADEMA. Mbona CCM kila mtu kivyake katika mbio za kumrithi JK na hakuna anaeambiwa ni muhaini ndani ya chama. Siasa za bongo ni fitina mtindo mmoja. Wakiweka katika katiba hakuna vyama kupewa ruzuku tutaona kama kweli watu watakimbilia siasa.
ReplyDeletehuyu mwenye kofia anafanania kama wale jamaa wa jamii forum walivyo...ubishi mwingi na ubinafsi.
ReplyDeleteSijawahi pinga hoja ya mgombea binafsi, na hata sasa siipingi ila nahisi kupendezwa zaidi na mgombea anae toka kwenye chama, na ni kwasababu mtu akianzia kwenye chama akaweza mudu mikiki mikiki ya chama, tukaona busara zake, hekima zake na uwezo alio nao wa uongozi, wa kutatua migogoro, wa team work, n.k then nadhani mtu huyo ataweza kuongoza nchi. Kama mambo haya yakimshinda mtu kwenye chama basi nina pata wakati mgumu kuamini mtu wa namna hiyo tukimpa nchi ataiweza!!??mikiki ya uongozi wa nchi ataweza kama ya chama tu kashindwa na kuamua kuwa mgombea binafsi, akisha kuwa raisi hawezi kuwa "binafsi" lazima afanye kazi na viongozi wengine, pengine more difficult people kuliko wale alio wakimbia kwenye chema, je itakuwaje!!??
ReplyDeleteMMmh ngoja niishie hapo maana kwanza hata chama sina.
Mimi si mfuasi wa CHADEMA ama chama chichote cha upinzani. Lakini napenda na nafurahishwa na role ya Upinzani na hasa chama cha CHADEMA kwa vile kimeweza kuwafungua macho watanzania kuhusu yale ambayo si haki kufanyiwa watanzania ikiwa ni pamoja na kufichua madhambi, na tuhuma za ufisadi na utendaji mbovu wa wachache waliopewa dhamana ya kuongoza watanzania. Kwa hilo Big up Upinzani. Hata hivyo sifikirii kama Upinzani ungekuwa na nguvu hii kama si kwa michango ya wachache wao ambao wamesaidia kutia chachu katika vyama hivi na kuweza kuwapa imani watanzania kuwa kumbe Upinzani ni muhimu kwa maendeleo. Mmojawao ni Zito. Nimeshangazwa na uamuzi wa viongozi wa CHADEMA kumvua madaraka, Zitto na wenzake badala ya kutumia busara kuwa-contain that situation. Uamuzi wao huo umenirudisha pale pale nilipokuwa more than a decade ago,na kabla ya sija-appreciate kazi kubwa ya watu kama kina Zitto na wenzake, kurudi na kuendelea kuamini kuwa Upinzani BAAADO hauwezi kuongoza nchi. Hii inatokana na uhaba wa busara uliotumika kushughulikia hili na ubinafsi ulio wazi. Mtu yeyote kutaka kugombea uraisi kwa tiketi ya chama chochote si dhambi. Wangewaacha watanzania watumie busara zao kuamua kama huyo anayetaka kugombea anawafaa ama vipi. Binafsi bado sijafikia hatua ya kumpa kura ya Uraisi kwa Zitto, labda ubunge, uwaziri etc lakini sioni kwa nini hii iwe issue kubwa kwa hiki chama. Hiki chama kwa sasa kilikuwa ni chama pekee cha Upinzani chenye nguvu. It is a shame kinajibomoa chenyewe. Yetu macho.. Sioni future ya hiki chama kama mambo yenyewe ni hayo..
ReplyDeleteHuyu mwenye kofia anambwelambwela tu hajui nini anazungumzia. siku nyingine fuatilia yanayotokea bongo kwa umakini halafu fanya discussion na ubongo wako kabla.
ReplyDeleteUhaini = treason
ReplyDeletetraitor = msaliti
Dotto ana point ila hawa jamaa wingine wamnambana sehemu anakuwa anayumba. Ila kihoja yupo 75% right.
Huyo jamaa wa kofia so boring asiwepo tena kwenye mjadara.Chadema mindset
ReplyDeleteHuyo mwenye kofia anabwabwaja tu kosa kubwa la ZZK ni kutaka vyama vikaguliwe vimetumiaje ruzuku???Akina Mbowe na Slaa na wengine akina Lissu ndo wanaokula hizo pesa ...wamemuona msaliti/mhaini eti kwa vile HAKUWATONYA kuwa atakuja na hio hoja akiwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mahesabu.Hizo sababu zingine wanazozisema Chadema ni kupindisha tu lakini kubwa ni hayo mahesabu..kwa hili chadema wamebugii meen....Ni bora CCM ikaendelea kushika hii nchi maana hao wengine wanahubiri Demokrasia wakati wao hawaifati kwenye chama chao...Ni bora Zimwi likujualo halikuli likakumaliza....hawa Chadema ndo wataimaliza kabisa hii nchi wakipewa rungu la dola.
ReplyDeleteNawakilisha,
Mdau wa Oxford.
Dotto unaongea pumba na unaboa. Mambo ya kijiti na kukubaliana na status quo ya nini. Kama obama angesubiri Kijiti clinton angekuwa rais kwa sasa. And by the way Zitto made Zitto, chadema didn't make Zitto, if that's the case tell them make more Zittos kwa sababu tunampenda, he patriotic na nimchapa kazi. You mentality is not to question just to go along, dunia ya sasa ni ya go geters and if you are not one of those get out the way.
ReplyDeletekama hauju nini kinaendelea funga mdomo. huyu jamaa mwenye kofia soo boring pointless kazi ubishi tuuu....
ReplyDeleteHuyu mwenye Kofia ni much know hali ya kuwa anabwabwaja tu tena haelewi hata analosimamia. Kwa CDM think tank ya namna hii, wasahau kuitwaa nchi hii. Kiukweli nimefuatilia suala hili, sijaona jambo lolote ambalo linamuingiza Zitto kwenye kosa. Nadhani solution ya jambo hili ni muda tu, waache CDM wamtimue Zitto halafu tutakuja kukutana 2015.
ReplyDeleteHivi wewe Mdau hapo juu unajua nini maana ya think tank? Maana haiendani na ukichokiandika Google ili next time usiwe a laughing stock
ReplyDeleteMdau