Home
Unlabelled
MAMA ALICE KIDERE RUGUMYAMHETO AFARIKI DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana wafiwa. Huyu Rugumnyamheto ni yule aliyekuwa Washington DC?
ReplyDeleteMdau wa kwanza, Rugumyamheto ni mume wa marehemu. Alikuwa mtu mzito sana kwenye serikali ya Ben.
ReplyDeleteR.I.P mama Rugu tulikupenda sana lakini Mungu amekupenda zaidi.
I was deeply saddened by the news of Mama Rugumyamheto passing. My heart felt condolences to Mzee Rugumyamheto and his family. We are sorry for her loss, she was such a great person, She will live-on in our memories forever.
ReplyDeleteNami natoa pole kwa familia ya mzee Rugumyamheto kwa msiba wa mama mpendwa. Namwomba Mwenyezi MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteMWANGA WA MILELE UMWANGAZIE Eeh BWANA, APUMZIKE KWA AMANI
Mdau Adelatus
POLE SANA MZEE RUGUMYAMHETO. ALICE ALIKUWA BOSS WANGU TAASISI YA ELIMU NA KISHA WIZARA YA ELIMU. MUNGU AKUTIE NGUVU NA FAMILIA WAKATI HUU MGUMU. BWANA AMETOA, NA TENA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
ReplyDeleteP. S KOPWEH