Ndugu Joseph Rugumnyamheto wa Mbezi Beach Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mke wake mpendwa ALICE KIDERE RUNGUMYAMHETO kilichotokea Tarehe Jana 25.12.2013. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Tutaendelea kutoa updates za msiba huu mara kwa mara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa. Huyu Rugumnyamheto ni yule aliyekuwa Washington DC?

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza, Rugumyamheto ni mume wa marehemu. Alikuwa mtu mzito sana kwenye serikali ya Ben.

    R.I.P mama Rugu tulikupenda sana lakini Mungu amekupenda zaidi.

    ReplyDelete
  3. I was deeply saddened by the news of Mama Rugumyamheto passing. My heart felt condolences to Mzee Rugumyamheto and his family. We are sorry for her loss, she was such a great person, She will live-on in our memories forever.

    ReplyDelete
  4. Nami natoa pole kwa familia ya mzee Rugumyamheto kwa msiba wa mama mpendwa. Namwomba Mwenyezi MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

    MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE Eeh BWANA, APUMZIKE KWA AMANI

    Mdau Adelatus

    ReplyDelete
  5. POLE SANA MZEE RUGUMYAMHETO. ALICE ALIKUWA BOSS WANGU TAASISI YA ELIMU NA KISHA WIZARA YA ELIMU. MUNGU AKUTIE NGUVU NA FAMILIA WAKATI HUU MGUMU. BWANA AMETOA, NA TENA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
    P. S KOPWEH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...