Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kahama mara baada ya kuwasili mjini hapo kwa ziara yake ya kichama jana
Dr Slaa akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea mjini Kahama jana. leo Desemba 5, atakuwa Wilaya ya Kakonko, Jimbo la Buyungu na Desemba 6, atakuwa Jimbo la Muhambwe.
Karibu karibu Mheshimiwa Slaa, tunakusubiri kwa hamu kubwa huku Kigoma uje utuondolee kidudu mtu.
ReplyDeleteThese meetings are a waste of people's time. I believe they are forced to attendx
ReplyDeletemambo ya kizamani hayo mikutano isiyokuwa na faida kwa wananchi wengi walio masikini.je maendeleo gani Slaa na Mbowe tokea wanakiongoza Chadema wamewaletea wananchi?
ReplyDeleteMabati ya kutu yaliyo expire Kahama yabadilishwe.
ReplyDeleteShida za wananchi zitatuliwe Ndio muhimu Si mikutano isiyokuepo.
ReplyDeleteImebainika kwamba picha hizo ni za zamani, ukweli nikwamba. Hakupata mapokezi kama haya
ReplyDeleteMkubwa ni hivi watanzania wa leo hatudananyiki na hizo uchafu wako. katika maisha yangu sintojaribu hata siku moja kupigia majangili/wezi/majambazi /mafisadi wa ccm. nitapiga kura kila uchaguzi lakini kura yangu itaenda upinzani siku zote. Inchi inaendeshwa na walanguzi/majangili ona leo tembo wanavyo kwisha,madini yanapolwa,unyonyaji mkuwa ,inchi inaendeshwa bila kuwa na sera(policy) ni ubabaishaji tu. Yalivyokuwa na akili za chooni eti wanataka kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi wakati wanajua kwamba ajira za sekta binafsi hazielweki/hazidumu ni fupi sana.ajira za migodini ni ngumu sana na hatarishi mtu anafanya kazi kwa muda tu na kuiacha ili aokoe afya yake,malipo ya migodini ni ushenzi mtupu expart analipwa zaidi ya mil 20 mbongo laki 2 na nusu mpaka laki 4 hiki ni nini?
ReplyDelete