IGP MPYA ERNEST MANGU
NAIBU WA IGP  MPYA ABDULRAHMAN KANIKI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sikujua kama jeshi la tanzania kuna department ya forensic investigation...hii ndio engine ya jeshi lolote makini la polisi duniani..!.lakini sijawahi kuwaona au kusikia hiki kitengo kikifanya kazi tz..labda ni kitengo jina bt ukweli ni kuwa hakifanyi kazi..mwenye taarifa zaidi na japo ushahidi wa utendaji wao anielimishe ndugu zanguni!

    mdau UK

    ReplyDelete
  2. kumekucha

    ReplyDelete
  3. Hongereni wateuliwa wapya, tunawategemea kuondoa manyanyaso ya baadhi ya polisi wasio waadilifu dhidi ya raia katika Jeshi hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...