Home
Unlabelled
NEWS ALERT: Rais amteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi na Kamishna Abdulrahman Kaniki kuwa naibu wake leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sikujua kama jeshi la tanzania kuna department ya forensic investigation...hii ndio engine ya jeshi lolote makini la polisi duniani..!.lakini sijawahi kuwaona au kusikia hiki kitengo kikifanya kazi tz..labda ni kitengo jina bt ukweli ni kuwa hakifanyi kazi..mwenye taarifa zaidi na japo ushahidi wa utendaji wao anielimishe ndugu zanguni!
ReplyDeletemdau UK
kumekucha
ReplyDeleteHongereni wateuliwa wapya, tunawategemea kuondoa manyanyaso ya baadhi ya polisi wasio waadilifu dhidi ya raia katika Jeshi hili.
ReplyDelete