Gwiji la muziki nchini Zahir Ally Zorro akitumbuiza solo katika sikukuu ya Christmas hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam, ikiwa ni special request ya Ankal.
Home
Unlabelled
zahir ally zorro bado anadai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tunaomba mzee Zoro arekodi tena zile nyimbo zake zote zilizotamba wakati ule akiwa na Kimulimuli, Sambulumaa n.k
ReplyDeleteWe mdau wa kwanza sio Arudi kwa Mungu wake na kuomba toba?
ReplyDeleteDaa, nimekumbuka mbali sana!Hivi kuna taratibu gani za kuhakikisha watu kama mzee huyu (Zorro) ujuzi wao unatumika kuwanufaisha wanamuziki wa wakati huu? au ndio tunaacha tu akifa anakwenda na ujuzi wake? Kama alivyosema mdau wa kwanza: msaidieni huyu mzee afanye collection ya nyimbo zake zote, auze afaidike na kazi zake.
ReplyDeleteWe Mdau wa PILI.
ReplyDeleteAkaombe TOBA kwa Mola wake kwani amefanya nini?
Mbona mnamuonea jamani?
One of the best! I love his voice unakumbuka wazazi tumerudi kishujaa! this man is gold. I do not care if he relaxes his hair or not
ReplyDeleteTrue talent! hakunaga wanamuziki kama hawa siku hizi...
ReplyDelete