Gwiji la muziki nchini Zahir Ally Zorro akitumbuiza solo katika sikukuu ya Christmas hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam, ikiwa ni special request ya Ankal.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tunaomba mzee Zoro arekodi tena zile nyimbo zake zote zilizotamba wakati ule akiwa na Kimulimuli, Sambulumaa n.k

    ReplyDelete
  2. We mdau wa kwanza sio Arudi kwa Mungu wake na kuomba toba?

    ReplyDelete
  3. Daa, nimekumbuka mbali sana!Hivi kuna taratibu gani za kuhakikisha watu kama mzee huyu (Zorro) ujuzi wao unatumika kuwanufaisha wanamuziki wa wakati huu? au ndio tunaacha tu akifa anakwenda na ujuzi wake? Kama alivyosema mdau wa kwanza: msaidieni huyu mzee afanye collection ya nyimbo zake zote, auze afaidike na kazi zake.

    ReplyDelete
  4. We Mdau wa PILI.

    Akaombe TOBA kwa Mola wake kwani amefanya nini?

    Mbona mnamuonea jamani?

    ReplyDelete
  5. One of the best! I love his voice unakumbuka wazazi tumerudi kishujaa! this man is gold. I do not care if he relaxes his hair or not

    ReplyDelete
  6. True talent! hakunaga wanamuziki kama hawa siku hizi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...