Mwanafunzi wa Shule ya Msingi katika moja ya Shule za Msingi zilizopo kwenye kijiji cha Ipunga,Wilayani Mbozi Mkoani Mbeya,akionekana kuvuka daraja la mto unaokatika kwenye Kijiji hicho ambalo limekatika Upande mmoja.hali inayopelekea kuhatarisha usalama wake na usalama wawakazi wa eneo hilo kwa Ujumla.Picha na Mdau Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Jamani. Serikali ya wilaya, lishughulikieni hili tatizo kabla maafa hayajatokea.

    ReplyDelete
  2. That's what we call COMMITMENT!!!

    ReplyDelete
  3. Huyo mtoto anafanya zoezi la kuwa Ninja. Ndiyo hali halisi ya Africa, maisha ni kufa na kupona, akifika utu uzima atakuwa amepitia kila challenge ya maisha.

    ReplyDelete
  4. Safari ya elimu bure inaanza soon ila vile vile tukumbuke ipo siku utatoa hesabu ya mambo yoote uliofanya duniani

    ReplyDelete
  5. Does the council know that it can be sued if someone loses life? The Council collects taxes and therefore they have an obligation to provide a service/s to the community. Wabongo tuelimishani, kodi zetu siyo za kujaza matumbo yao tu.

    ReplyDelete
  6. Kodi inayolipwa na waTanzania, hasa wafanyakazi, inatumika wapi????

    HII NI HATARI SANA KAMA HADI LEO KUNA CHANGAMOTO KAMA HIZI KATIKA VIJIJI VYETU.

    ReplyDelete
  7. HALAFU MNATEGEMEA MTOTO KAMA HUYU AWE NA ROHO NZURI SIKU ZA MBELENI.

    ReplyDelete
  8. TUNASUBIRI MSAADA TOKA ULAYA TUTENGENEZE DARAJA; WAHISANI BADO HAWAJAJITOKEZA. ENDELEENI KUTUVUMILIA WANANCHI, HALI SI NZURI YA KIUCHUMI.

    ReplyDelete
  9. Hii ni Hatari sana. tuwaonee huruma watoto maana ndio taifa la kesho.

    ReplyDelete
  10. Na huyo mtoto hana akili. Ina maana haoni kuwa hiyo ni hatari? Kama ameshindwa kujitetea ktk hali hiyo basi huyo taahira

    ReplyDelete
  11. tatizo anaepita hapo sio huyo mtoto tu, hata wazazi wake na kiongozi wa kijiji wanapita hapo hapo. kwa hiyo sio suala la kusema huyo mtoto hana akili.

    ReplyDelete
  12. hapo ni mpaka afe mtoto ndo utaona mkuu wa wilaya,mkoa,mbunge,waziri husika hadi rais watakavyo kuwa mahodari kuonge,haya bwana.

    ReplyDelete
  13. JAMANI NAONA HAPA MMEKAZANA KUMJADILI HUYU MTOTO, KWANZA NI MTOTO YEYE ANAONA SAWA WALA KWANZA HATA HAJUI SANA HARARI ILIYOPO,SI MNAWAONA WAZEE HAPO PEMBENI WAZEE WAZIMA NA MVI ZAO, WAO WAMELIONAJE SWALA HILO , NA MTOTO ANAPITA NA WANAMUONA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...