Home
Unlabelled
NAMNA YA KUPUNGUZA UZITO KWA NJIA SALAMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Is this approved by a doctor? where do I go if I develop some medical problems as a result of this diet?
ReplyDeleteBe careful love your body! do not consume every thing you see on blogs/TV
Unene ni issue ya watu wa nje na siyo wabongo sisi tunakula kila kitu fresh(oganic food) hatuli mavyakula ya kutengenezwa. tunafanya mazoezi ya kutembea kwa kukosa usafiri hivyo tupo fit na hatuna mangonjwa ya hajabuhajabu kama nchi nyingine tuache kuchomeka mambo yasiyochomekeka kwenye nchi yetu.
ReplyDeleteMdau wa pili, inaonyesha Tanzania huijui vizuri. Siku hizi kuna tabaka la watu wenye kujipata ambao kila pahali wanakwenda kwa gari. Wanakula hivyo vyakula unavyovisema maana vinauzwa kwenye "Supermarket".
ReplyDeleteCHIPS, KUKU WA KUKANGA, SODA, ICE CREAM, PILAU ZILIZOJAZWA MAFUTA NA VYAKULA VINGI VYA TAKE AWAY NA VYA KUKAANGIZA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
ReplyDeletenahitaji kujua hizo product zinapatikana wapi? nami nahitaji kuzitumia.
ReplyDeleteMhhh! Hizo picha nina mushkel nazo ni vyema mngetuonesha hao warembo kabla ya kutumia hizo dawa walikuwaje na sio kutuonesha walivyokuwa baada ya kutumia tu, ili tujue kweli zinafuction au ni biashara tu.
ReplyDeletehawa wanafanya biashara waongo sana.
ReplyDeleteUtanunua weeeeee wala hutapata matokeo. Kila mara utaambiwa ...endelea tu ...huku hela inateketea