Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Is this approved by a doctor? where do I go if I develop some medical problems as a result of this diet?
    Be careful love your body! do not consume every thing you see on blogs/TV

    ReplyDelete
  2. Unene ni issue ya watu wa nje na siyo wabongo sisi tunakula kila kitu fresh(oganic food) hatuli mavyakula ya kutengenezwa. tunafanya mazoezi ya kutembea kwa kukosa usafiri hivyo tupo fit na hatuna mangonjwa ya hajabuhajabu kama nchi nyingine tuache kuchomeka mambo yasiyochomekeka kwenye nchi yetu.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa pili, inaonyesha Tanzania huijui vizuri. Siku hizi kuna tabaka la watu wenye kujipata ambao kila pahali wanakwenda kwa gari. Wanakula hivyo vyakula unavyovisema maana vinauzwa kwenye "Supermarket".

    ReplyDelete
  4. CHIPS, KUKU WA KUKANGA, SODA, ICE CREAM, PILAU ZILIZOJAZWA MAFUTA NA VYAKULA VINGI VYA TAKE AWAY NA VYA KUKAANGIZA NI HATARI KWA AFYA YAKO.

    ReplyDelete
  5. nahitaji kujua hizo product zinapatikana wapi? nami nahitaji kuzitumia.

    ReplyDelete
  6. Mhhh! Hizo picha nina mushkel nazo ni vyema mngetuonesha hao warembo kabla ya kutumia hizo dawa walikuwaje na sio kutuonesha walivyokuwa baada ya kutumia tu, ili tujue kweli zinafuction au ni biashara tu.

    ReplyDelete
  7. hawa wanafanya biashara waongo sana.

    Utanunua weeeeee wala hutapata matokeo. Kila mara utaambiwa ...endelea tu ...huku hela inateketea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...