Wazee wa kazi wa Serengeti Freight Forwarders  ya jijini London Kaka Muhsin (kushoto) na Kaka Chris  wakiwa wametulia tuli kabla ya kumpa ofa ya bonge la lunch ya usiku huu Ankal katika hoteli ya Hyatt Regency Churchill, London.
Ankal akila selfie na Wazee wa Kazi Kaka Muhsin (kushoto) na Chris ambao pia walitumia nafasi hiyo kusherehekea kuhamisha ofisi yao ya Serengeti Freight Forwarders. Wao wanakuwa wamatumbi wa kwanza kuwa na ofisi sehemu za  Tilbury Port. Soma maelezo hapo chini:

WE ARE MOVING OUR OFFICES TO TILBURY PORT, OPPOSITE BERTH 31 (BESIDE HYUNDAI)  PLEASE IF YOU HAVE ANY ITEMS AT OUR CURRENT ADDRESS COME AND COLLECT AS WE WILL NOT TAKE ANYTHING WITH US.
WE NOW SELL EMPTY CONTAINERS 40'HC £1,500 
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD
UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD,
EAST TILBURY, ESSEX, RM18 8RH
MOBILE  CHRIS(+44)07903828119  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MsemaKweliApril 05, 2014

    anakal hii sio SELFIE..lol. Hii ni picha ya kawaida tu, kwani mmepigwa na mtu mwingine ambaye hayupo kwenye hii picha. Sselfie ni picha unayojipiga mwenyewe kwa kugeuza kamera..lol

    ReplyDelete
  2. ANKAL NIMEAMIN UKO MALONDON UKO NA WAZEE WA KAZI WA KWELI WA MALONDON NSUNKIN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...