Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,Mhe. Omar Mjenga (kulia) akisalimiana na Mhe. Kariuki Mugwe, Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai wakati alipomtembelea ofisini kwake kwa mazungumzo.
Wakiwa katika mazungumzo na kubadilishana mawazo kuhusu njia wanazotumia kuvutia wawekezaji na utalii. Mhe. Kariuki alimueleza Mhe. Mjenga njia wanazotumia kuwatafutia kazi wananchi wao. Kwa sasa Tanzania imeweka mkakati wa kuhakikisha Watanzania wengi wanapata kazi Dubai.
Watanzania tuchangamkie fursa za ajira Dubai, hata ukipita uwanja wa ndege utakutana na wakenya na waganda zaidi wanaofanya kazi hapo uwanjani Dubai.
ReplyDelete