Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omari Mjenga akiwa na wanadiplomasia wenzake kwenye sherehe za kimataifa za usomaji Quran jijini Dubai leo
Mgeni rasmi Mtukufu Sheikh Maktoum bin Mohamed bin Rashid al Maktoum akiwa picha ya pamoja na washindi. Kulia kwake ni kijana kutoka Nigeria akiyeibuka mshindi.
Mheshimiwa Mjenga akiwa na bw. Ali Mwalimu, mshiriki kutoka Tanzania.
Mheshimiwa Balozi Mdogo Mjenga akiwa na familia yake kwenye sherehe hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...