Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.
Best male East Africa
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo (number 1 rmx)ft Davido
And Best Afrikan Artist of the year
Ili ku-vote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma- nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.
Ahsanteni
Hapa chini angali video mpya ya Diamond "Mdogo Mdogo"
Diamond Platinumz apamoja na Mrisho Mpoto wote wapo ktk kinyang'anyiro AFRIMMA cha msanii bora katika fani za muziki wa kizazi kipya kwa Diamond na muziki wa asili kwa Mrisho Mpoto, hivyo hima tuwapigie kura.
ReplyDelete