NYOTA wa miondoko ya taarab, Isha Mashauzi amekuja kivingine ambapo ameachia rhumba kali la miondoko ya muziki wa dansi. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Nimlaumu Nani”. Ni wimbo wa dakika tano uliorekodiwa katika studio ya Soft Records chini ya producer Pitchou Meshaa. Sauti zote utakazozisikia katika wimbo huu, zimewekwa na Isha Mashauzi mwenyenye – ameimba peke yake mwanzo mwisho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huu ndiyo muziki si huu upuuzi wa fleva kisha mtu anajiita mwanamuziki. Isha una kipaji mdogo wangu, I love this beat more than taarab japo nakukubali hata huko pia ila hapa umeua na kudhihirisha kipaji chako.

    ReplyDelete
  2. Hili rhumba ni la kipekee. Hongera sana Isha Mashauzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...