Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali na watumishi wake wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 20, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.
The mdudu, watanzania tunakupenda sana rais wetu piga kazi baba kutokana na umahili wako mimi huku UGAIBUNI London natembea kifua wazi huku nikiwa pekupeku japokua ni kipindi cha kipupwe ndugu zangu watanzania usilolijua ni usiku wa giza nene rais wetu Magufuli kawa gumzo midomoni mwa watu wote wa kutoka Africa
ReplyDeleteUnique and our own big up Taata
ReplyDeleteLuka 22:26 Lakini isiwe hivyo kati yenu; bali, yule aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.
ReplyDeleteInaelekea Rais JPM ktk ujana wake kapitia maisha ya aina mbali mbali...hadi kushona anajua !!!
ReplyDeleteViongozi wengine waliolelewa ktk maisha ya kifahari hawajui hata kukaa ktika kiti cha cherehani ...........