Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali na watumishi wake wa  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 20, 2016 
 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. The mdudu, watanzania tunakupenda sana rais wetu piga kazi baba kutokana na umahili wako mimi huku UGAIBUNI London natembea kifua wazi huku nikiwa pekupeku japokua ni kipindi cha kipupwe ndugu zangu watanzania usilolijua ni usiku wa giza nene rais wetu Magufuli kawa gumzo midomoni mwa watu wote wa kutoka Africa

    ReplyDelete
  2. Unique and our own big up Taata

    ReplyDelete
  3. Luka 22:26 Lakini isiwe hivyo kati yenu; bali, yule aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.

    ReplyDelete
  4. Inaelekea Rais JPM ktk ujana wake kapitia maisha ya aina mbali mbali...hadi kushona anajua !!!

    Viongozi wengine waliolelewa ktk maisha ya kifahari hawajui hata kukaa ktika kiti cha cherehani ...........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...