Kikosi cha Zima Moto pamoja na Jeshi la Polisi wakiwa katika uzimaji wa Moto ulio zuka Ghafra tangu Alfajiri ya leo kwa chanzo kinachosemekena ni Shoti ya Umeme na kuteketeza Vitu vyote vilivyokwemo katika Godauni la Mafuta yakupikia eneo la Foresti Mpya Jijini Mbeya.
Zoezi la uzimaji Moto likiendelea..
Kikosi cha Zima Moto kwa kushilikiana na Jeshi la Polisi wakiendelea na Zoezi la uzimaji Moto katika Godauni hilo la Mafuta eneo la Ferest Mpya Jijini Mbeya..
Jeshi la Polisi na Jeshi la Zima moto lilifanikiwa kuuzima moto huo ulio zuka kwa chanzo kinacho sadikika kuwa ni Shoti ya Umeme.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO GLOBU YA JAMII MBEYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni, ila vifaa vya umeme vilivyo chini ya viwango vinaendelea kutumika na kutuletea maafa. Ifikie sisi wananchi kusema No na kuacha kununua vifaa vya bei poa na visivyo na ubora maana hasara zake kubwa kuliko faida.

    ReplyDelete
  2. Angalau zimamoto wameanza kuwa active

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...