Kikosi cha Zima Moto pamoja na Jeshi la Polisi
wakiwa katika uzimaji wa Moto ulio zuka Ghafra tangu Alfajiri ya leo
kwa chanzo kinachosemekena ni Shoti ya Umeme na kuteketeza Vitu vyote
vilivyokwemo katika Godauni la Mafuta yakupikia eneo la Foresti Mpya
Jijini Mbeya.
Zoezi la uzimaji Moto
likiendelea..
Kikosi cha Zima Moto kwa kushilikiana na Jeshi
la Polisi wakiendelea na Zoezi la uzimaji Moto katika Godauni hilo la
Mafuta eneo la Ferest Mpya Jijini Mbeya..
Jeshi la Polisi na Jeshi la Zima moto
lilifanikiwa kuuzima moto huo ulio zuka kwa chanzo kinacho sadikika
kuwa ni Shoti ya Umeme.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO GLOBU YA JAMII
MBEYA.


Poleni, ila vifaa vya umeme vilivyo chini ya viwango vinaendelea kutumika na kutuletea maafa. Ifikie sisi wananchi kusema No na kuacha kununua vifaa vya bei poa na visivyo na ubora maana hasara zake kubwa kuliko faida.
ReplyDeleteAngalau zimamoto wameanza kuwa active
ReplyDelete