Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheik Tahir Mahmoud aliyemtembelea pamoja na viongozi wenzake Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Jumuiya hiyo nchini Sheik Tahir Mahmoud.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...