Home
Unlabelled
HADIJA KOPA NDANI YA KIPINDI CHA DANGA CHEE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Malikia wa Mipasho wewe tunakukubali katika akinamama wanamuziki wewe umechangia kwa kiasi kikubwa sana katika mapinduzi ya kuuweka muziki wa taarabu kufikia hapa- Mungu akuzidishie nguvu.
ReplyDeletewadau
Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni
Ujerumani
Hongera na pongezi za dhati mpaka hapo ulipofikia Bi Khadija Omar Kopa katika fani yako hiyo ya Muziki huo wa Taarab, maana tangu Taarab asilia mpaka leo hii abadan siyo mas'khara. Pia nimpongeze sana sana na Mwl. Haji Machano kwani kwa ufahamu wangu pia nae kwa njia moja ama nyingine baadhi ya mashairi yake, pia yaliweza kuwa mchango mkubwa sana katika kupiga hatuwa zaidi katika fani yako hiyo. Mwenyeez Mungu azidi kukulinda na kukuongoza uzidi kupiga hatuwa na kuendelea kuwapa burdani 'mujarrab' wateja wako.
ReplyDelete