Home
Unlabelled
RAIS DKT MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Charles Kitwanga, Waziri Mkuu atoa ufafanuzi wa hatua hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chemical engineer ame dectect fume ya alcohol,Hii aibu kubwa.....heri katumbua....
ReplyDeleteuamuzi sahihi kwa wakati sahihi. sasa tufahamu uhusika wake LUGUMI na wabia wake wabanwe mapema kabisa.
ReplyDeleteNi kama vile golikipa kajifunga mwenyewe goli, ili mradi wapinzani wasionekane kuwa washindi.Lakini ukweli uko pale pale, bao ni bao la penati na hata la kujifunga wenyewe..mmeshafungwa. alex bura dar
ReplyDeleteJe alikuwa ananuka pombe, au hatakuongea hawezi? walimfanyiavipimokuona alikuwa na kiasi gani cha pombe kwenye damu? kweli hapa ni kasi ya kazi tu. Hapendwi mtu hapa, na hakuna maroroso.
ReplyDeleteit is very shameful sikio la kufa halisikii dawa atafutiwe kazi anayofanana naye
ReplyDeleteIs this a case of Auto-brewery syndrome? when affected individuals auto ferment Alcohol in their gut, with the help of one of the gut`s yeast known as saccharomyces cerevisiae. If this is not the case and he really consumed alcohol before going to the parliament, then he has reaped what he sowed!
ReplyDeleteDr G.Bitozi
Dr Bitozi andika basi hata kizungu kinachoeleweka. Ama nawe uko under the influence ama ni ubitozi tu?
ReplyDeleteAhhhh wapi..........hahahaha mwaka huu wengi tu watafundishwa kulewa ili kuuficha ukweli, watu walikomaa mpaka kikaeleweka na bado mjipange kweli kweli.
ReplyDeletePole sana Mh. Kitwanga.Yote ni maisha, aliyekupa ni huyo huyo kakunyakuwa kama ni Mungu au JPM.au Tekero.
ReplyDeleteLabda umelogwa! Maana kwa akili ya kawaida hii haiingi akilini( can"t complihend what you did)Kwa kitendo hicho umemsaliti JPM, wana Misungwi, wanaCCM wote, watumishi wa wizara ya mambo ya ndani, na watanzania wa vyama vyote wapendao maendeleo.
Kwa maisha bora nakuomba uchukuwe rozari seriously na uanze kusali ili kilichomo ndani yako kiondoke. Ni Bwana tu ndiye awezae yote, maana kama ni vita basi ni vyake.
Ankal Michuzi chonde! chonde! nakuomba utuwekee wimbo wa Dr. Remmy uitwao 'NISEME NINI" maana una mafunzo makubwa na ya ziada kwetu sisi tuliobakia.
Help him. Apelekwe Rehab.
ReplyDeleteULEVI NI MAMA WA MAASI NA UTOVU WA NIDHAMU.
ReplyDeleteULIMWENGU UNGEKUWA VINGINE KABISA SIKU ULEVI UNGEPIGWA MARUFUKU. OTHERWISE MENGI KAMA HILI TUTAENDELEA KUYASHUHUDIA. ALCOHOL HAS NEVER BEEN MAN'S BEST FRIEND...
AND IT NEVER WILL BE!!
Mndengereko Ukerewe
Jamani uthibitisho kuwa alikuwa amelewa upo? Ukweli taarifa hii haijakaa vizuri, ni kama kadharirishwa!
ReplyDeleteNjamumanyilezu@gmail.com
ReplyDeleteHow can we verify on the truth kwamba alikuwa amelewa?
ReplyDeleteI think now Ministers now for sure know who is their boss!..... but let us wait and see if they are terrified enough to execute their duties responsibly.
ReplyDeleteNi sawa...lkn hapa CCM ndio ninapowaona kiboko.....wameepusha LUGUMI kwa kuua Issue kwa KIROBA. ..kweli CCM KIBOKO..
ReplyDelete