Yamoto Band wakishirikiana na Wadogo zao Salamu TMK wameandaa wimbo huu wa kuhamasisha usafi katika jiji la Dar es Salaam kufatia kauli ya Rais John Pombe Magufuli na Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2016

    Safi..jiji liwe safi...taa zifungwe mitaani na kwenye barabara za pembezoni mji uwake upendeze.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2016

    The mdudu, bonge la ngoma safi sana vijana full talented, na muongoza video pongezi kwako kaza utafika mbali#DarbilaYauchafuInawezekana#tanzaniampyahiyoyaja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...